Washindi Tuzo Za Muziki Tanzania 2022 | Tanzania music awards 2021/2022;- in This Post you will find Msanii Bora Wa Kike, Msanii Bora Wa Mwaka, Msanii Bora Wa Bongo Fleva, Wimbo Bora Wa Mwaka And Producer Bora. Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021
Tuzo za TMA 2022/2023 Tuzo Za Muziki Tanzania Washindi
Washindi Tuzo Za Muziki Tanzania music awards 2021/2022
The awards for this year are being presented in the JNICC Hall in Dar es Salaam, and the first five people to receive the honorary award are President Samia Suluhu, Chief of Army Staff Mabeyo, The Late Ruge Mutahaba, The Late Mrs. Kidude, and Singer Diamond Platnumz.
The TMA award have been off for the long time due to several reason but recently after Six years of waiting, the National Arts Council of Tanzania announced nominees for the Tanzania Music Awards (TMAs) to be celebrated on Saturday, April 2, 2022.
Tuzo za TMA 2022/2023 Tuzo Za Muziki Tanzania Washindi
WASHINDI WA TUZO ZA MUZIKI
1. Tuzo ya Muigizaji Bora wa Video za Muziki wa Kike
Fevushka
2. Tuzo ya Muigizaji Bora wa Video za Muziki wa Kiume
Seleman Masenga
Dansa Bora wa Kike wa Mwaka
Baby Drama
3. Tuzo ya Dansa Bora wa Kiume
Culture Centre
4. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Asili wa Kike
Sholinda Kilasi
5. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Asili wa Kiume
Msafiri Zawose
6. Tuzo ya Wimbo Bora wa Asili wa Mwaka
Asili Yetu – Sholo Mwamba Ft Wanne Star
7. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Taarab
Khadija Yusuph
8. Tuzo ya Msanii wa Bora wa Kiume wa Taarab
Mzee Yusuph
9. Tuzo ya Wimbo Bora wa Taarab
Msinifokee – Jahazi Modern Taarab
10. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Raggae/DanceHall wa Kike
Dipper Rato
11. Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Raggae/DanceHall
Baddest 47
12 . Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka wa Raggae/DanceHall
Unaota – Baddest 47
13. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Dansi wa Kike
Luiza Mbutu
14. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Dansi wa Kiume
Charles Baba
15. Tuzo ya Wimbo Bora wa Dansi/Rhumba/Zouk
Penzi – Twanga Pepeta
16. Tuzo ya Msanii Bora wa Singeli wa Kike
Snura
17. Tuzo ya Msanii Bora wa Singeli wa Kiume
Sholo Mwamba
18. Tuzo ya Wimbo Bora wa Singeli
Asili Yetu – Sholo Mwamba
19. Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kike
Saraphina
20. Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume
Harmonize
21. Tuzo ya Wimbo Bora Shirikisho wa Mwaka
Loyalty – Darassa Ft Marioo & Nandy
22. Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka
Alikiba
23. Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka
Profesa Jay
24. Tuzo ya Director Bora wa Mwaka
Hans Cana
25. Tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka
Only One King – Alikiba
26. Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Chaguo la Watu
Nandy
27. Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Chaguo la Watu
Alikiba
28. Tuzo ya Msanii Bora Afrika Mashariki
Alikiba
29. Tuzo ya Msanii Bora Kutoka Kusini mwa Afrika
Sho Madjozi
30. Tuzo ya Msanii Bora Kutoka Afrika Magharibi
Davido
31. Tuzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana Afrika
Attitude – Harmonize
32. Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Singeli
Kenny
34. Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Muziki wa Hip Hop
S2Kizzy
35. Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Zouk/Rhumba/Dansi
Erasto Mashine
36. Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Bongo Fleva
Mr T Touch
37. Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi
Sarafina
38. Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi wa Kiume
Rapcha
39. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip Hop wa Kike
Chemical
40. Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka
Young Lunya
41. Tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop
Mbuzi – Young Lunya
42. Tuzo ya Msanii Bora wa Bongo Fleva wa Kike
Nandy
43. Tuzo ya Msanii Bora wa Bongo Fleva wa Kiume
Marioo
44. Tuzo ya Wimbo Bora wa Bongo Fleva
Bia Tamu – Marioo
45. Tuzo ya Video Bora ya Mwaka
Salute – Alikiba
46. Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike wa Mwaka
Nandy
47. Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka
Harmonize
Since its launch, the Tanzania music awards has been one of the Country’s iconic events in the entertainment industry.
The TMA award have been off for the long time due to several reason but recently after Six years of waiting, the National Arts Council of Tanzania announced nominees for the Tanzania Music Awards (TMAs) to be celebrated on Saturday, April 2, 2022.
Despite having such a long break, many people expected the new edition of TMA to be better and have fewer issues.
Basata announced different categories to be featured in the Tanzania music awards comeback including Hip Hop, Dance, Taarab, Reggae, and Dancehall are among the 51 categories revealed. Here we’ll take you through Tanzania music awards winners (Washindi Tuzo za muziki tanzania 2021/2022) for different categories.