Jinsi/Namna ya kutumia efd machine | how to use efd machine

Jinsi/Namna ya kutumia efd machine | how to use efd machine

Jinsi/Namna ya kutumia efd machine | how to use efd machine, Mashine za Risiti za Kielektroniki (EFD) incotex 181 user manual pdf, vigezo vya kutumia efd machine, wauzaji wa mashine za efd, how to use efd machine, jinsi ya kupata mashine ya efd, efd machine manual, how to unblock efd machine, incotex 133 user manual pdf

Mashine za Risiti za Kielektroniki ni Nini?

Mashine za Risiti za Kielektroniki ni mashine zilizotengenezwa kwa ajili ya kutumika katika biashara kwa ajili ya kudhibiti usimamizi kwa ufanisi katika maeneo ya uchambuzi wa mauzo na mfumo wa udhibiti wa mali na ambao unafuata masharti yaliyoelezwa na sheria.

Aina za Mashine za Risiti za Kielektroniki (EFD)

Mashine ya Rejista ya Kodi ya Kielektroniki (ETR)

Mashine hii hutumiwa na wafanyabiashara wa rejareja na wale wanaouza bidhaa kwa kutembeza kwa wateja.

Printa ya Risiti ya Kielektroniki (EFP)

Mashine hii inatumiwa na vituo vya mauzo ya rejareja vilivyounganishwa kikompyuta. Imeunganishwa kwenye mtandao wa kompyuta na kuhifadhi miamala yote ya mauzo au taarifa zilizowekwa kwenye kumbukumbu zake.

Chombo cha Kutia Saini za Kielektroniki (ESD)

Kifaa kilichotengenezwa kuthibitisha kwa kusaini waraka wowote wa fedha ulioandaliwa na kompyuta kama vile ankara ya kodi. Kifaa hiki hutumia program maalum ya kompyuta kuzalisha namba maalum (Saini) ambazo huambatishwa na kuchapwa kwenye kila ankara inayotolewa na mfumo wa mtumiaji.

Mashine ya Kieletroniki ya Printa ya Pampu.

Mashine hii imetengenezwa kwa ajili ya kutumika katika vituo vya mafuta na uchapa kila risiti wakati wa miamala ya mauzo.

ANGALIZO:

Unawajibika kutoa risiti au ankara kwa kila mauzo na kutoa taarifa za mabadiliko/hitilafu zozote za mashine kwa Kamishna ndani ya saa 24. Msambazaji wa mashine atasakinisha, kupanga na kushughulikia hitilafu za mashine ndani ya saa 48

Soma zaidi TRA

Angalia Video Za Jinsi ya kutumia efd machine Za Aina Mbali Mbali

Jinsi ya kutumia efd machine

Jinsi ya kutumia efd machine

HOW TO USE EFD MACHES FOR SALE AND PROVIDE Z-REPORT
INCOTEX 181 (small machine) 1.

Turn on the machine will write REGISTRATION MODE2.

Enter the password 100,0003.

Click TOTAL once, you will see 1. Sales, 2. Purchase4.

Click 1. (sales) Select to make sales5.

You will see BUYER
’S
TIN 0.00
… Then the machine is ready to make sales

MAKING SALES
For example a customer has bought 4 SERENGETI for a price of 40,000 shs each
Do this:

Press 4 (number) then

QTY then (price) 40,000 then

SH then PLU then press 3 (beer) PLU then TOTAL then the receipt will come out give the customer For example the customer has bought 4 SERENGETI at a price of sh 40,000 each TUSKER 2 at a price of 32,000 eachLONDON GIN CARTON 2 at a price of 65,000 eachSt. Anna 3 at a price of 95,000 eachClittle water CARTON 10 at a price of 3,000 each CARTONBoss whiskey CARTON 2 at a price of sh 70,000 each CARTON
Do this:

Press C The machine will show 0.00 when you press VD / MODE once and then press MODE three times you will see Z-REPORT then enter the password 300,000 then press TOTAL when Z-REPORT will come out when it is relevant.

COMPANY PRODUCTS NUMBERS:
1) HARD DRINKS (
spirits kama Gordon’s, grants J&B, jebel, London gin,
Smirnoff
, and others
)

2) SOFT DRINKS (alvaro, bavaria, redbull, pure heaven) 3) BEER (all beers with Heineken and Windhoek) 4) WINE (Dompo alter wine St. Anna, St. Morand, St. Vincent) 5) SODA6) WHISK (boss, bond 7,) 7) WATER (big and small water

dominicbaitani
Expert in Digital Marketing, Content Creator, and Website Developer.
error: